Mafao ya Wategemezi hulipwa kwa wategemezi wa mwanachama aliyefariki ambao ni mke/mume na watoto kwa mujibu wa Ibara ya 37 ya Sheria Namba 2 ya Hifadhi ya Jamii kwa Watumishi wa Umma ya Mwaka 2018.
Masharti ya Ulipaji Mafao ya Wategemezi: -
Utaratibu wa Malipo ya Mafao ya Wategemezi : -
Hulipwa kwa wategemezi wa Mwanachama aliyechangia miezi 180 na zaidi. Malipo ya kila mwezi yatalipwa kwa mjane/ mgane mweye sifa zifuatazo;
Ikiwa Mwanachama hakuacha mgane/ mjane asilimia mia moja (100%) itakwenda kwa watoto kwa mgawanyo sawa.