
Mafao ya Uzazi yanatolewa kwa mujibu wa ibara ya 32 ya Sheria namba 2 ya Hifadhi ya Jamii kwa Watumishi wa Umma ya mwaka 2018 .
Masharti kwa mwanachama kustahili kulipwa Fao ya Uzazi: -
Mwanachama mwanamke aweze kupata fao la uzazi, lazima kuwasilisha fomu PS-BEN. 3 ambayo imejazwa vyema pamoja na viambatanisho vifuatavyo: -
Kiasi kutakacholipwa kwa fao la uzazi kwa mwanachama litategemeana na vigezo vifuatavyo,