Kanusho :-
Picha hizi ni kwa madhumuni mahsusi ya elimu kwa Wanachama wa PSSSF na si kwa sababu nyingine yoyote iwe biashara au kwa madhumuni ya faida ya kifedha. PSSSF haitawajibika kwa matumizi yoyote ya picha na wahusika wengine yasiyoidhinishwa na PSSSF.
Kanusho la Tovuti ya Mitandao ya Kijamii :-
Mitandao ya kijamii ya PSSSF yaani Facebook, Twitter, Youtube na Instagram zinasimamiwa na kudumishwa na Mfuko. PSSSF haiwajibikii maudhui ya tovuti hizo za nje. Maoni na imani zinazotolewa kupitia majukwaa ya mitandao ya kijamii ya Mfuko na vikao vingine vya mtandaoni ni vya wafanyakazi, watu binafsi wanaohusiana, washiriki wengine na si lazima ziambatane na sera, viwango na utendaji wa Mfuko.