Mafao ya Kifo yanatolewa kwa wategemezi wa Mwanachama aliyefariki dunia akiwa katika ajira kwa mujibu wa Ibara ya 36 ya Sheria 2 ya Hifadhi ya Jamii kwa Watumishi wa Umma ya Mwaka 2018.