Mafao ya ugonjwa yanatolewa kwa mujibu wa ibara ya 29 ya Sheria namba 2 ya Hifadhi ya Jamii kwa Watumishi wa Umma ya mwaka 2018.
Sifa na Masharti ya mwanachama kustahili kulipwa fao hili: -
Mwanachama aweze kulipwa fao la ugonjwa, lazima mwajiri wake awasilishe fomu iliyojazwa number PS –BEN.4 pamoja na viambatanisho vifuatavyo: -