PSSSF YAENDELEA KUTOA HUDUMA NA ELIMU KWA WANACHAMA WIKI YA HUDUMA KWA WATEJA
Meneja wa Mfuko wa PSSSF, Zanzibar, Bi. Mariam Salehe (kulia), akiungana na Wanachama wa Mfuko Visiwani Zanzibar kwenye Wiki ya Huduma kwa Wateja katika ofisi ya PSSSF, mjini Unguja.
October 9, 2026