BENEFIT OFFERED

We Provide The Following Benefit To Our Members

LATEST NEWS

​PIC: Mradi wa PSSSF Olorien ni Mfano, sasa unavuna faida

Mwenyekiti wa kamati ya Kudumu ya Bunge ya Uwekezaji wa Mitaji ya Umma (PIC), Mhe. Augustine Vuma Holle (wa pili kulia) akiongoza waheshimiwa wabunge wajumbe wa kamati hiyo kutembelea mradi wa nyumba za makazi wa Oloirieni uliopo jijini Arusha unaomilikiwa na PSSSF,kushoto ni Mkurugenzi Mkuu wa PSSSF, Bw. Abdul-Razaq Badru

view more Details