02a

Waziri wa Kilimo, Mhe. Japhet Hasunga, (kulia), akisikiliza kuhusu elimu ya Hifadhi ya Jamii kwa Watumishi wa Umma, kutoka kwa Afisa Uhusiano Mwandamizi wa Mfuko wa Hifadhi ya Jamii kwa Watumishi wa Umma (PSSSF), Bi. Rehema Mkamba alipotembelea banda la Mfuko huo kwenye maonesho ya Nanenane viwanja vya Nyakabindi nje kidogo ya Mji wa Bariadi Mkoani Simiyu.

HASUNGA33b

Mheshimiwa Hasunga, akizungumza jambo na maafisa wa PSSSF kwenye banda la Mfuko huo alipolitembelea.

5R5A4584c

Afisa Mafao Mwandamizi PSSSF, Bi.Linda Balati (kushoto), akifafanua jambo kwa wanachama wa PSSSF kutoa Benki Kuu ya Tanzania BoT), walipotembeklea banda la Mfukjo huo katika maonesho ya Nanenane kitaifa, viwanja vya Nyakabidni nje kidogo ya Mji wa Bariadi Mkoani Simiyu.

5R5A4604d

Afisa Uhusiano Mwandamizi wa PSSSF, Bi. Rehema Mkamba akitoa elimu ya Hifadhi ya Jamii kwa wanachama hawa waliotembelea banda la Mfuko huo Nanenane Nyakabindi, Simiyu.

caption2e

Meneja wa PSSF Mkoani Arusha, Bw. Rajabu Kinande (kushoto), akimhudumia mwanachama aliefika katika banda la Mfuko katika maonesho ya Nanenane Kanda ya Kaskazini viwanja vya Themi, jijini humo.

caption3f

Watumishi wa PSSSF wakihudumia wanachama kwenye maonesho ya Nanenane Kanda ya Mashariki Mkoani Morogoro.

maelezo ya pichag

Mfanyakazi wa PSSSF (kushoto), akimsikiliza kwa makini mwanachama huyu aliyetembeleabanda la Mfuko huo viwanja vya Themi, jijini Arusha.