PSSSF, Magereza watiliana saini mkataba wa ujenzi wa kiwanda cha bidhaa za ngozi

August 02, 2019 Dar es Salaam

Kamishna Jenerali wa magereza nchini Faustine Kasile (katikati), mkurugenzi mkuu wa Hifadhi ya Jamii kwa Watumishi wa Umma (PSSSF) Eliudi Sanga (kushoto) pamoja na mkurugenzi wa TIRDO (waliosimama) wakishuhudia utiaji saini wa mkataba wa utekelezaji wa mradi wa ujenzi wa kiwanda kipya cha bidhaa za ngozi Karanga kilichopo mjini Moshi.

Subcribe to our Newsletter